Mtu aliye na pembe ndefu ya kiatu.
Moduli

Vifaa saidizi vya kuvaa nguo

Masomo 6

Maelezo ya moduli

Moduli hii inafundisha namna ya kugawa vifaa saidizi vya kuvaa kwa kufuata hatua Nne za huduma hii.

Kiwango cha ugumu: Rahisi

Muda wa moduli: Masaa mawili mkondoni, ikifuatiwa na mazoezi ya kusimamiwa kama inahitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Moduli iliyozuiliwa

Moduli hii kwa sasa inajaribiwa na kupitiwa. Ni chini ya upatikanaji wa vikwazo.

Rasilimali ambazo utahitaji

  • Kifaa saidizi kinachotumika kufika kwenye kitu kufika eneo kitu kilipo na kukishikilia.
  • Fimbo ya kukusaidia kuvaa nguo
  • Kifaa cha kuchomeka vifungo vya nguo kwenye matundu yake na kuvuta cha zipu
  • Kifaa saidizi cha kuvaa soksi
  • Kifaa saidizi cha kinachotumika kuvaa Viatu
  • Nguo: T-shirt, shati, soksi

Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:

Jukwaa la majadiliano

Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.