Mwanamke anamuonyesha mwanaume namna ya kutumia breki kwenye rolata yake.
Moduli

Vifaa saidizi vya kutembelea

Moduli hii hutoa utangulizi wa msingi wa ugawaji wa vifaa saidizi vya kuteWakati waa.

Masomo 6

Module details

Moduli hii inafundisha namna ya kugawa vifaa saidizi vya kuteWakati waa kwa kufuata hatua Nne za kutoa huduma.

Kiwango cha ugumu: Wastani

Module duration: 4 hours online, followed by supervised practice as needed

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Translation in progress

This module is currently being edited. Content may not be accurate in your language.

Kuna aina nyingi tofauti za vifaa vya kuteWakati waa. Moduli hii inalenga vifaa vile vinavyohitajika zaidi. kama mtumiaji mtarajiwa anahitaji kifaa saidizi cha kuteWakati waa ambacho hakipo katika moduli hii, anaweza kuhitaji kupata rufaa kwenda eneo lingine la kutolea huduma.

Rasilimali ambazo utahitaji

  • Fimbo za kutembelea
  • Magongo
  • Rolata
  • Fremu za kutembelea

Pakua na uchapishe nyaraka hizi kutoka kwenye moduli:

Jukwaa la majadiliano

Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.