Jaribio

Jaribio la kabla ya kuanza kusoma kuhusu viti saidizi vya msalani na bafuni

Fanya jaribio hili la maswali 15 ili kutambua uelewa wako wa awali kuhusu viti saidizi vya msalani na bafuni; kabla ya kuanza kusoma moduli hii. Usiwe una wasiwasi iwapo jaribio hili litakuwa gumu kwako. Utajifunza zaidi kuhusu mada hizi zote wakati ukisoma moduli hii.

Jaribio la kabla ya kuanza kusoma kuhusu viti saidizi vya msalani na bafuni