Fomu ya usajili
Kujiandikisha kwa tovuti ya TAP ni rahisi. Jaza sehemu zilizo hapa chini, na tutakutengenezea akaunti mpya baada ya muda mfupi. Maelezo unayoshiriki yatatumiwa na Timu ya WHO TAP kuelewa, kukaribisha na kusaidia watu wanaotumia tovuti hii.
Kumbuka: Maelezo ya usajili yanahifadhiwa kwenye tovuti salama, ambayo inalindwa kwa nywila, na ni Wanachama walioidhinishwa tu wa timu ya WHO TAP ambao wanaweza kuona maelezo haya. Hakuna maelezo binafsi ya watumiaji waliosajiliwa yaTatumwa kwa watu wasiohusika, na taarifa zitakazotumika kwenye taarifa ni zile tu ambazo hazimtambulishe mhusika moja kwa moja. Kwa taarifa zaidi wasiliana na [email protected]