Karatasi ya taarifa za mshiriki

Karibu kwenye Mafunzo ya Vifaa saidizi (TAP).

Maelezo kuhusu TAP: TAP ni programu ya kujifunza mtandaoni kwa wafanyakazi ambao ni, au itakuwa:

  • Kutambua watu wanaohitaji vifaa saidizi;
  • Kugawa vifaa rahisi za kusaidia;
  • Ina nia ya kusaidia kuongeza upatikanaji wa vifaa saidizi watu wanaovihitaji.

Mafunzo ya TAP Yanaweza kufanyika kwa kutumia kompyuta, kishkwambi au simu janja.

Ukusanyaji wa taarifa kwa ajili ya TAP: TAP hukusanya taarifa kuhusu wASHAbaririki wa mafunzo wa TAP (ikiwa ni pamoja na wewe unayesHabaririki mafunzo) pale wanaposajili na kufanya taafiti  ndogo zinazotoa mrejesho. Aidha jukwaa la majadiliano linatunza kumbukumbu ya  maeneo ambayo wASHAbaririki wa mafunzo wangependa kujua zaidi na maswAli kutoka kwa wASHAbaririki wa mafunzo. Vilevile alama ambazo wASHAbaririki wa mafunzo wanapta wanapofanya majaribio hukusanywa.

Kabla ya taarifa hii kutumika itatolewa vitu ambavyo vinatambulisha wahusika. Hii inamaanisha kuwa Majina, na maelezo ya kibinafsi Yanaondolewa. Kwa njia hii, hakuna mtu atakayepata habari hii atajua mtu inayemhusu.

  • Kwa kiwango gani kuna uhitaji wa TAP (kwa mfano idadi ya nchi ambazo tayari zinaweza kufanya TAP);
  • Ni kwa namna gani TAP inafanya kazi vizuri na ni kwa namna gani inaweza kuboreshwa;
  • Ni moduli zipi za TAP za hapo baadaye ambazo watu wanaweza kuvutiwa nazo na ni kwa namna gani wanaweza kutumia TAP.

taarifa ambazo hazitambulishi wahusika zinatunzwa vizuri  na Shirika la Afya Duniani. taarifa hizi zinaweza kunganishwa na taarifa nyingine kutoka kwa miradi mingine ya TAP, na zinaweza kusambazwa kwa washirika wa mradi, waFadhili, na watafiti.