Moduli hii inafundisha wanafunzi namna ya kutoa vioo kuza na darubini kwa kufuata hatua Nne za utoaji huduma.
Kitambulisho cha moduli: Uoni
Miwani ya kusomea
Moduli hii inafundisha namna ya kugawa miwani ya kusomea ya kawaida
Vifaa saidizi vya uoni
Moduli hii hutoa utangulizi wa vifaa saidizi vya uoni.