Karatasi ya taarifa za mshiriki
Karibu kwenye Mafunzo ya Vifaa Saidizi (TAP). Mafunzo haya ni hatua ya kwanza ya mradi huu, " Mafunzo ya Vifaa Saidizi (TAP)", yakiongozwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jmaii, Wazee na Watoto ya Tanzania, Shirika la Afya Duniani na Shirika la Kimataifa la HelpAge International Tanzania. Mradi huu unalenga kuanzisha mfumo wa rufaa ngazi ya jamii kwa kutumia teknolojia ya vifaa saidizi, na ugawaji wa vifaa saidizi mbalimbali katika zahanati na hospitAli mbili za wilaya.
Tafadhali soma maelezo hapa chini na kamilisha sehemu A (makubaliano) na sehemu B (utakupata kipimo sahihii wa uandikishaji) kabla ya kuanza kufanya mafunzo
Maelezo kuhusu TAP: TAP ni programu ya kujifunza mtandaoni kwa wafanyakazi ambao ni, au watakuwa:
- Wakianisha wahitaji wa kutumia vifaa saidizi na / au
- Kugawa vifaa saidizi
Moduli za TAP unazosoma sasa zinaweza kupatikana kwa kutumia kompyuta, kishikwambi au simu janja. Wakati wa kujifunza kwako TAP, pia utapata Msaada wa kuonana uso kwa uso na wASHAuri.
Ikiwa una swali sasa, au Wakati wowote unaposoma mafunzo haya, unaweza:
- Jadiliana na mshauri wako ambaye ni mratibu wa mradi
- Ongea na wenzako
- KuAndika swali lako kwenye kikundi cha mawasiliano ambacho mshauri wako ataanzisha (wasiliana na mshauri wako)
maoni yako ni muhimu: Mwishoni mwa mafunzo, utaombwa kujibu Maswali yAliyo kwenye utakupata kipimo sahihii mfupi (utakaodumu kwa Amekuwa kwenye mtandao dakika 20) wa maoni mtandaoni. Unaweza pia kuulizwa kutoa maoni kwa njia nyingine kama vile kupitia majadiliano ya kikundi (Yanayoweza kudumu hadi dakika 90). Ushiriki wako katika shughuli hizi za maoni ni wa hiari, na utafanyika Wakati wa maSaa ya kazi, kwa wakati rahisi kwako mwenyewe na meneja au msimamizi wako katika eneo unalotolea huduma.
Ukusanyaji wa data ya TAP: TAP hukusanya maelezo kuhusu wASHAbaririki wa mafunzo ya TAP (ikiwa ni pamoja na wewe) kupitia utakupata kipimo sahihii huu wa uandikishaji na utakupata kipimo sahihii wa maoni yako utakaofanyika baadaye. Aidha, alama utakazopata baada ya kujibu jaribio zitakusanywa pia, na taarifa kuhusu idadi ya moduli na Majina ya moduli ulizomAliza kusoma inachukuliwa. Wakati wASHAbaririki wamafunzo wWakati wa kwenye Vikundi vya majadiliano ili kubadilishana uzoefu na kutoa maoni, milio ya Sauti zao zitanaswa na kutumika kwenye kutengeneza kumbukumbu ya maandisHabari. Aidha Sauti Habarizi zilizonaswa zitafutwa baadaye.
Kabla ya taarifa Habarii kutumika, itataondolewa viashiria vyote vinavyomtambulisha mtu Aliyeitoa. Habarii inamaanisha kuwa Majina, na maelezo binafsi yataondolewa. Kwa njia Habarii, hakuna mtu yeyote atakeyeweza kubainisha mtu Aliyetoa taarifa husika.
taarifa ilizotolewa viashiria vyote vinavyomtambulisha mtoaji, inatumiwa na watu kuandaa taarifa kuhusu mafunzo ya TAP na utakupata kipimo sahihii ambao unasadia:
- Namna washiriki wa mafunzo wanavyoweza kutumia mtandao wa TAP na namna ambavyo mtandao huu unaweza kuboreshwa
- Mawazo ya wanafunzi kuhusu ugwaji wa vifaa saidizi katika katika maeneo yao ya kazi
- Je ni hatua gani nyingine zinazoweza kuchukuliwa ili kuboresha upatikanaji wa teknolojia ya vifaa saidizi.
taarifa ambazo hazitambulishi wahusika zinatunzwa vizuri na Shirika la Afya Duniani. taarifa hizi zinaweza kunganishwa na taarifa nyingine kutoka kwa miradi mingine ya TAP, na zinaweza kusambazwa kwa washirika wa mradi, waFadhili, na watakupata kipimo sahihii.
Ikiwa una Maswali yoyote kuhusu ukusanyaji wa data ya TAP, unaweza kumuUliza mratibu wa mradi, au kutumua barua pepe kwa kutumia anwani: [email protected]
Unahitaji kuingia kwenye mafunzo ili uweze kuiona fomu hii