Skip to main content

Moduli zote

Bure

Utambulisho wa vifaa saidizi

Moduli hii inatoa maelezo ya jumla ya vifaa saidizi.

Uwezo wa kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine

Bure

Bodi zinazotumika kuhamisha mwili wa mtumiaji kutoka eneo moja hadi lingine

uoni

Bure

Vifaa saidizi vya uoni

Moduli hii hutoa utangulizi wa vifaa saidizi vya uoni.

Bure

Miwani ya kusomea

Moduli hii inafundisha namna ya kugawa miwani ya kusomea ya kawaida

Bure

Vioo kuza na darubini

Moduli hii ya vikuza na darubini inawafundisha Wanafunzi jinsi ya kutoa vikuza na darubini kufuatia hatua nne za huduma.

Kujitunza

Dharura

Bure

Viti saidizi vya magurudumu katika dharura

Moduli hii inafundisha jinsi ya kutoa kiti cha magurudumu katika dharura kufuatia hatua nne za huduma.

Zinapatikana kwa ruhusa maalum

Kwa hivi sasa Moduli hizi ziko kwenye kujaribiwa na kupitiwa. Zinapatikana kwa ruhusa maalum