Fomu ya Kujisajili wa WANAFUNZI wa Ukrainia

Karatasi ya taarifa za mshiriki

 Karibu kwenye Mafunzo ya Vifaa Saidizi (TAP). Mafunzo haya ni hatua ya kwanza ya mradi,

'Kuwezesha upatikanaji wa haraka wa teknolojia muhimu ya Msaada (AT10) kwa watu wAliokimbia makazi yao ncHabarini Ukrainia', ikiongozwa na Wizara ya Afya ya Ukrainia na SHabaririka la Afya Duniani. Mradi huu unakusudiwa kuwezesha upatikanaji wa haraka wa teknolojia muhimu ya Msaada (AT) kwa WaUkrainia wenye uhaMaji na maHabaritaji ya Kujitunza ambao wamehamishwa na vita.

Tafadhali soma maelezo hapa chini na kamilisha sehemu A (makubaliano) na sehemu B (utafiti wa uandikishaji) kabla ya kuanza kufanya mafunzo

 Maelezo kuhusu TAP: TAP ni programu ya kujifunza mtandaoni kwa wafanyakazi ambao ni, au watakuwa:

  • Wakianisha wahitaji wa kutumia vifaa saidizi na / au
  • Kugawa vifaa saidizi 

Moduli za TAP unazosoma sasa zinaweza kupatikana kwa kutumia kompyuta, kishikwambi au simu janja. Wakati wa kujifunza kwako TAP, pia utapata Msaada wa kuonana uso kwa uso na wASHAuri.

Ikiwa una swali sasa, au Wakati wowote unaposoma mafunzo haya, unaweza:

  • Jadiliana na mshauri wako ambaye ni mratibu wa mradi
  • Ongea na wenzako
  • KuAndika swali lako kwenye kikundi cha mawasiliano ambacho mshauri wako ataanzisha (wasiliana na mshauri wako)

 Mrejesho wako ni muhimu: Mwishoni mwa mafunzo, utaombwa kukamilisha utafiti mfupi (dakika 20) wa maoni mtandaoni. Unaweza pia kuulizwa kutoa maoni kwa njia nyingine kama vile kupitia mahojiano (ya hadi dakika 30). Ushiriki wako katika shughuli hizi za kutoa maoni ni wa hiari, na utafanyika wakati wa masaa ya kazi, kwa wakati unaofaa kwako na meneja wako / msimamizi wako wa huduma.

 Ukusanyaji wa data wa TAP: TAP inakusanya taarifa kuhusu wanafunzi wa TAP (ikiwa ni pamoja na wewe msomaji) kupitia utafiti huu wa uandikishaji (unaodumu takribani kwa dakika 20) na ukusanyi wa mrejesho (unaodumu takribani kwa dakika 20) utaombwa kukamilisha baadaye. Alama za jaribio pia hukusanywa, na habari kama vile ni ngapi na ni moduli gani unazokamilisha. Wakati wanafunzi wanashiriki katika mahojiano ili kushiriki uzoefu na kutoa maoni, kurekodi sauti ya majadiliano inaweza kufanywa na kisha kutumika kuunda rekodi iliyoandikwa. Rekodi ya sauti itafutwa.

 Kabla ya taarifa Habarii kutumika, itataondolewa viashiria vyote vinavyomtambulisha mtu Aliyeitoa. Habarii inamaanisha kuwa Majina, na maelezo binafsi yataondolewa. Kwa njia Habarii, hakuna mtu yeyote atakeyeweza kubainisha mtu Aliyetoa taarifa husika.

taarifa ilizotolewa viashiria vyote vinavyomtambulisha mtoaji, inatumiwa na watu kuandaa taarifa kuhusu mafunzo ya TAP na utafiti ambao unasadia:

  • Namna washiriki wa mafunzo wanavyoweza kutumia mtandao wa TAP na namna ambavyo mtandao huu unaweza kuboreshwa
  • Mawazo ya wanafunzi kuhusu ugwaji wa vifaa saidizi katika  katika maeneo yao ya kazi
  • Je ni hatua gani nyingine zinazoweza kuchukuliwa ili kuboresha upatikanaji wa teknolojia ya vifaa saidizi.

taarifa ambazo hazitambulishi wahusika zinatunzwa vizuri  na Shirika la Afya Duniani. taarifa hizi zinaweza kunganishwa na taarifa nyingine kutoka kwa miradi mingine ya TAP, na zinaweza kusambazwa kwa washirika wa mradi, waFadhili, na watafiti.