Mara tu unapokuwa na akaunti ya TAP (tazama Je, ninajisajili vipi kwa akaunti? ) utaweza kufikia maudhui ya moduli na rasilimali. Sajili, ingia na uende kwa moduli unazotaka kuchukua, kupitia kurasa za Kozi .

Kwa kila moduli kuna seti ya Rasilimali zinazoweza kupakuliwa na/au kuchapishwa. Nyenzo hizi zinaweza kufIkiwa kwenye ukurasa wa nyumbani wa moduli inayohusiana na kwenye ukurasa wa Rasilimali wa jukwaa.