Kusikia na matatizo tofauti ya kusikia

Photo credit: Centre for Ageing Better

Jaribio

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, fanya jaribio fupi lifuatalo ili kutambua mambo ambayo tayari unayajua:

Maelekezo

Fanya kazi kupitia mada zifuatazo ili kujifunza kuhusu Bidhaa saidizi wa kusikia na matatizo tofauti ya masikio na kusikia ambayo watu wanaweza kuwa nayo.

Jukwaa la majadiliano