Nani anahusika katika kugawa vifaa saidizi?

Mwanamke anayemsaidia mwanaume kutumia fimbo yake ya nyeupe kupanda ngazi.

Somo la pili lina mada Moja tu. Pitia mada Inayofuatia ili ujifunze kuhusu nani anayehusika katika kugawa vifaa saidizi

Jukwaa la majadiliano