Skip to main content
Utangulizi

Ufanyaji programu ya upimaji kwa watoto wenye umri wa kwenda shule

Somo: 2 ya 4
0% Complete
0%
Ufanyaji programu ya upimaji kwa watoto wenye umri wa kwenda shule
Somo: 2 ya 4
picha kwa hisani: WHO / Quamrul Hasan

Upimaji Unaweza kufanyika shuleni au sehemu nyingine kwenye jamii.

kozi hii inahusika zaidi maeneo ya shule, lakini taarifa inayotumika inaweza kutumika pia kwenye maeneo mengine.

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili kujifunza kuhusu uaandaji na ufanyaji wa programu ya kupima hisia za kusikia na kuona.

Lessons Icon Mada za somo