Rufaa kwenda kuonana na wataalam wa huduma ya macho na masikio

Picha kwa hisani ya: WHO / Badru Katumba

Maelekezo

Kuna mada moja tu katika somo hili. Soma mada hii ili ujifunze kuhusu namna ya kutoa na kufuatilia rufaa: