Skip to main content
Usikivu

Utangulizi wa vifaa saidizi vya kusikia

Somo: 1 ya 6
 Imekamilika  kwa 0%
0%
Utangulizi wa vifaa saidizi vya kusikia
Somo: 1 ya 6
Picha kwa hisani ya: © WHO

Jaribio

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, fanya jaribio fupi lifuatalo ili kutambua mambo ambayo tayari unayajua:

Maelekezo

Soma Mada zifuatazo ili kujifunza kuhusu vifaa saidizi vya kusikia na ni nani anayeweza kusaidia.