Skip to main content
 Imekamilika  kwa 0%
Picha kwa hisani ya: © WHO

Hatua ya kwanza ya kumpatia mtu vifaa saidizi vya kusikia ni kumfanyia upimaji wa kusikia ili kujua kama atafaidika na Vifaa saidizi vya kusikia. kipimo cha kusikia ni sawa kwa watu wazima na watoto.

Maelekezo

Soma Mada zifuatazo ili kukamilisha somo hili na ujifunze jinsi ya kufanya kipimo cha usikivu na ufanye mpango wa kutoa vifaa saidizi vya kusikia.

Lessons Icon Mada za somo