Hatua ya Tatu: Kutumia

Picha kwa hisani ya: WHO

Hatua ya tatu katika kutoa vifaa saidizi vya kusikia ni kumfundisha mtu jinsi ya kuvitumia na kuvitunza.

Taarifa sawa ni muhimu kwa watu wanaotumia vifaa saidizi vya kusikia vilivyosetiwa tayari au vinavyoweza kupangwa.

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili kukamilisha somo hili na ujifunze zaidi kuhusu jinsi ya kutumia na kutunza vifaa saidizi vya kusikia.