Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
 Imekamilika  kwa 0%
Picha kwa hisani ya: © WHO

Hatua ya tatu katika kutoa Vifaa saidizi vya usikivu ni kufundisha jinsi ya kuvitumia na kuvitunza.

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili kukamilisha somo hili na ujifunze zaidi kuhusu jinsi ya kutumia na kutunza Vifaa saidizi vya usikivu vinavyoweza kusetiwa.