Jaribio

Jaribio la baada ya kusoma moduli kuhusu uwezo wa kusikia na afya ya masikio kwa watoto 

Ili kukamilisha moduli hii na kupakua cheti unahitaji kufanya jaribio la baada ya kumaliza kusoma moduli. Bofya kitufe kilicho hapa chini ili kufanya chemsha bongo hiyo. Unapaswa kupata alama 60% au zaidi ili kufaulu chemsha bongo hii.

Jaribio la baada ya kusoma moduli kuhusu uwezo wa kusikia na afya ya masikio kwa watoto