Jaribio

Introduction to noncommunicable diseases pre-module quiz

Fanya jaribio hili la Maswali 16 ili kujua maarifa yako ya awali ya NCD kabla ya kuanza kusoma moduli hii. Usiwe na wasiwasi iwapo jaribio hili ni gumu kwako! Utajifunza juu ya mada hizi zote wakati uutakapo kuwa ukisoma moduli hii.