Jaribio

Utangulizi wa jaribio la awali kuhusu upimaji wa hisia za kusikia na kuona kabla ya moduli

Fanya jaribio hili lenye maswali 15 ili kupima ujuzi wako wa awali wa upimaji wa hisia za kusikia na kuona kabla ya kusoma moduli hii. Usiwe na wasiwasi iwapo jaribio hili litakuwa gumu kwako! Utakuwa unajifunza zaidi kuhusu mada hizi zote wakati ukisoma moduli hii.

Utangulizi wa jaribio la awali kuhusu upimaji wa hisia za kusikia na kuona kabla ya moduli