Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Jaribio

Jaribio la awali kabla ya kusoma moduli ya Vifaa saidizi vya usikivu vinavyoweza kusetiwa

Fanya jaribio hili la maswali 15 ili kupima ujuzi wako wa awali wa Vifaa saidizi vya usikivu vinavyoweza kusetiwa kabla ya kusoma moduli hii. Usiwe na wasiwasi iwapo jaribio hili litakuwa gumu kwako! Utajifunza zaidi kuhusu mada hizi zote wakati ukisoma moduli.

Jaribio la awali kabla ya kusoma moduli ya Vifaa saidizi vya usikivu vinavyoweza kusetiwa