Ili kukamilisha moduli hii fanya jaribio hili la mwisho ambalo litajaribu kile ulichojifunza kuhusu vifaa saidizi vya kuteWakati waa. Unahitaji kupata alama 60% au zaidi ili kkufaulu jaribio hili.
Maswali ya jaribio baada ya kumaliza kusoma kuhusu moduli
Muhtasari wa Jaribio
0 ya 15 Maswali yamekamilika
Maswali:
taarifa
Tayari umekamilisha jaribio hili hapo awali. Huwezi kuanza tena.
Jaribio linafunguka...
Lazima uingie kwenye akaunti yako au jisajiri ili uweze kuanza kufanya jaribio.
Kwanza Unapaswa kukamilisha yafuatayo:
Matokeo
Matokeo
0 kati ya maswali 15 yamejibiwa kwa usahihi
Muda umepita
Umefikisha pointi 0 kati ya pointi 0, (0)
Pointi (s): 0 ya 0, (0)
0 Insha (s) Inasubiri (Pointi zinazoweza kupatikana): 0)
Makundi
- Ambazo hazijawekwa kwenye makundi0%
-
Oh pole, haukufanya vizuri katika jaribio hili! Unaweza kuhitaji kusoma tena kwa haraka haraka kabla ya kurudia kufanya jaribio hili kwa mara nyingine.
-
Bahati mbaya haukufaulu jaribio hili na unaweza kusoma moduli kwa haraka kabla ya kujaribu kwa mara nyingine
-
funga! Haukufaulu jaribio.Je, unahitaji kujaribu tena?
-
Umefanya vizuri , Umefaulu jaribio hili! Unaweza kupakua cheti chako kutoka kwa Ukurasa wa awali wa moduli.
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- Sasa
- Fanya tathmini
- Amejibu
- Sahihi
- Sio sahihi
-
Swali 1 Ya 15
Swali 1.
Ni vifaa saidizi vipi vya kutembela ambavyo haviwezi kutumika vizuri kwenye sehemu ya chini ambayo haiko tambarare?
-
Swali 2 Ya 15
Swali 2.
Ni hali gani ya kiafya inayoweza kusababisha majeraha kwenye miguu?
-
Swali 3 Ya 15
Swali 3.
Ni kauli zipi kati ya zifuatazo ni za kweli?
-
Swali 4 Ya 15
Swali 4.
Mtu Aliyekatwa mguu anaweza kuhitaji:
-
Swali 5 Ya 15
Swali 5.
Mtu mwenye kisukari au Aliyepata kiharusi:
-
Swali 6 Ya 15
Swali 6.
Rollata na fimbo za kuteWakati waa zinaweza kutumika tu ikiwa mtumiaji anaweza kubeba uzito fulani kupitia miguu yote miwili.
-
Swali 7 Ya 15
Swali 7.
Ikiwa mtumiaji anaweza kutumia mkono mMoja tu, ataweza kutumia:
-
Swali 8 Ya 15
Swali 8.
Mtu anaposimama moja kwa moja, Magongo aina ya Axilla huwekwa vizuri ikiwa:
-
Swali 9 Ya 15
Swali 9.
Mtego wa mkono wa vifaa vyote vya kuteWakati waa Unapaswa kuwa katika kiwango cha mkono:
-
Swali 10 Ya 15
Swali 10.
Unamfundisha mtu kutumia magongo kwenye hatua. Wanaweza kubeba uzito kupitia miguu yote miwili, lakini mguu wa kulia una nguvu zaidi. Ni mguu gani Unapaswa kwenda hatua kwanza?
-
Swali 11 Ya 15
Swali 11.
fimbo ya kuteWakati waa inapaswa kushikiliwa Upande dhaifu wa mtumiaji.
-
Swali 12 Ya 15
Swali 12.
Wakati wa kumsaidia mtu kwenda ngazi na Msaada wa kuteWakati waa, mlezi anapaswa:
-
Swali 13 Ya 15
Swali 13.
Mtu unayemtathmini kwa Msaada wa kuteWakati waa yuko katika hatari ya kupata jeraha la mguu. Ungewaambia nini?
-
Swali 14 Ya 15
Swali 14.
Mzee amekuja kwako kwa ajili ya kufuatilia fimbo yake ya kuteWakati waa. Amekuwa na anguko moja hivi karibuni na anapata shida kutembea kwenda madukani. Ni matendo gani hapa chini ungefanya Wakati wa ufuatiliaji?
-
Swali 15 Ya 15
Swali 15.
Unapaswa kubadilisha kifaa saidizi cha kuteWakati waa kama:
Tafadhali tujulishe kama unaridhia taarifa ilizokusanywa Wakati wa mafunzo haya itumike kwa shughuli za utoaji wa taarifa na utakupata kipimo sahihii wa baadaye.
Jibu "ndiyo" au "hapana" kwa kila Swali hapa chini. Hata kama utachagua jibu sahihi kama "hapana",bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.