Utangulizi wa uoni

Maendeleo ya usoMaji Mada:

Maelekezo

In this topic you will learn about vision and different vision problems that people may experience.

What is vision?

Vision is the ability to see. This includes being able to see up close and in the distance.

Uoni wa mbali

Uoni wa mbali ni Uwezo wa kuona vizuri vitu kutoka mbali.

Uoni wa mbali hutumiwa kuona (kwa mfano):

  • Ubao mweusi darasani
  • Ishara za mtaani au dukani
  • Faces across a room.

Mwalimu akiwa amesimama mbele ya ubao akimuelekezea mwanafunzi aliyeinua mkono wake.

Uoni wa karibu

Near vision is the ability to see objects up close.

Uwezo wa uoni wa karibu hutumiwa kweye kazi kama vile:

  • Kusoma vitabu au magazeti
  • Kushona nguo
  • Kuandaa chakula
  • Sorting objects.

A person wearing near vision spectacles reading a book.

matatizo ya uoni

Kuna matatizo tofauti ambayo mtu anaweza kuwa nayo kwenye uoni wake pamoja na:

  • Distance vision problems
  • Near vision problems
  • Eye health problems (for example, infections and cataracts).

A person can have one or a combination of these, and to different levels of severity.

Shida nyingi za uoni zinaweza:

  • Prevented. For example, by limiting the amount of time a child spends looking at electronic devices
  • Kutibiwa. Kwa mfano, Kutumia dawa dhidi ya matatizo ya afya ya macho
  • Helped. For example, through using assistive products such as spectacles and/or rehabilitation.

Some vision problems are unavoidable. This means treatment will not fully restore vision. However, assistive products and a more accessible environment can assist the person to do the things they need to do.