Maendeleo ya usoMaji Mada:
Maelekezo
Katika mada hii utajifunza jinsi macho yenye afya bora yanavyoonekana na dalili za matatizo ya afya ya macho.
Ni muhimu kutambua jinsi macho yenye afya bora na yale yasioyo na afya bora yanavyoonekana kama sehemu ya upimaji wa hisia za kusikia na kuona.
Sehemu za jicho
Sehemu za jicho zinazoweza kuonekana kutoka nje ya jicho ni pamoja na:
- ukope (juu na chini)
- kope
- Sehemu ya jicho yenye rangi
- Sehemu ya jicho yenye rangi nyeupe.
Sehemu nyingine za jicho pia zinahusika katika kuona. Sehemu hizi hazijajumuishwa kwa vile hazijakaguliwa wakati wa upimaji.
Kazi
angalia mifano ya macho yenye afya kwenye picha hapa chini.
Angalia sifa zifuatazo:
- Kope na kope hazina tongotongongo wala usaha
- Hakuna kutokwa na maji a uchafu unaonata
- Sehemu nyeupe ya jicho inaonekana kuwa safi
- Sehemu ya rangi ya jicho ni safi (sio rangi ya maziwa / ukungu)
- Macho yote mawili yanatazama kuelekea upande mmoja.
Ridhaa ya matumizi ya taarifa
Tafadhali tujulishe kama unaridhia taarifa ilizokusanywa Wakati wa mafunzo haya itumike kwa shughuli za utoaji wa taarifa na utafiti wa baadaye.
Jibu "ndiyo" au "hapana" kwa kila Swali hapa chini. Hata kama utachagua jibu sahihi kama "hapana",bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.
2. Naelewa kuwa taarifa zangu zilizotolewa viashiria vyote vya kunitambulisha; (taarifa ambazo zimekusanywa kupitia fomu Habarii ya usajili, utafiti wa maoni mtandaoni, alama nilizopata kwenye majaribio na taarifa kutoka jukwaa la majadiliano) zitatumika katika taarifa na kufanya utafiti ili kusaidia kuboresha TAP na kuboresha upatikanaji wa teknolojia ya vifaa saidizi, na ninaridHabaria
Ukurasa
of
Show / Hide lesson topics
Ukurasa
Previous page
Next page
Show / hide menu
completed
not completed
in progress
not started
Expand All
Collapse All
module lessons
Search results pagination
Kuingia kwenye mtandao
Username or email address
Password
Lost password
Main content anchor
Tafutiza
funga sehemu ya kutafuta kitu kwenye mtandao
Lesson navigation
breadcrumb
Module menu
Topic navigation
angalia yote
Menyu
Site menu
Akaunti ya mhusikamiaji inayohusiana
Group secondary navigation
opens in a new tab/window