Skip to main content
Uwezo wa kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine

Fomu ya tathmini ya vifaa saidizi vya kutembea

Somo: 0 ya 0
Mada: 0 ya 0
 Imekamilika  kwa 0%

Assessment includes:

  • Mahojiano ya tathmini: kuuliza maswali mtu na wakati mwingine pia mtu msaidizi wake au mwanafamilia
  • Tathmini ya uhamaji: kuangalia jinsi mtu anavyozunguka

Fomu ya tathmini ya vifaa saidizi vya kutembea iliyotumika katika Moduli hii ni chombo rahisi ambacho kinaweza kutumika kama mwongozo wakati wa tathmini. Fomu inajumuisha maswali kuuliza na nini cha kuangalia katika tathmini ya uhamaji. Fomu hii pia ina nafasi ya kuongeza maoni na inajumuisha vidokezo vya kusaidia kuchagua.

Kama bado hujafanya hivyo, pakua Fomu ya tathmini na uchapishe nakala.

kama huwezi kupakua fomu, usiwe na wasiwasi. Kila swali kwenye fomu limeweka dhahiri kwa kadri unavyosoma sehemu hii ya moduli

Majadiliano

Ukifanya hivyo, baada ya kukamilisha Moduli hii Unaweza kupenda kulinganisha fomu yako na fomu hii. Je, una maswali zaidi au machache? Je, kuna baadhi ya mambo ungependa kuongeza, au baadhi ya mambo ungependa kuondoa?

0%
Fomu ya tathmini ya vifaa saidizi vya kutembea
Somo: 0 ya 0
Mada: 0 ya 0