Imefunguliwa ili kufikia maudhui haya Idhini ya matumizi ya taarifaTafadhali tujulishe ikiwa utatoa idhini kwa taarifa zilizokusanywa wakati wa mafunzo haya kutumika kwa shughuli za baadaye za kuripoti na utafiti.angalia ndiyo au hapana kwa kila Swali hapa chini. Ukichagua hapana, bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.1. Nimesoma […]
Kitambulisho cha moduli: Utangulizi
Vifaa saidizi vya kusogea kutoka eneo moja kwenda eneo lingine
Moduli hii hutoa utangulizi wa vifaa saidizi vya kusogea
Vifaa saidizi vya Kujitunza
Moduli hii hutoa utangulizi wa vifaa saidizi vya Kujitunza
Utambulisho wa vifaa saidizi
Moduli hii inatoa maelezo ya jumla ya vifaa saidizi.
Vifaa saidizi vya uoni
Moduli hii hutoa utangulizi wa vifaa saidizi vya uoni.