Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Mwanamke Aliyekatwa mguu chini ya goti hapo juu anatumia magongo aina ya axilla kutoka nje ya basi.
Uhamaji

Bidhaa saidizi za uhamaji

Moduli hii hutoa utangulizi wa vifaa saidizi vya kusogea

Muda wa moduli: Saa 3 mtandaoni, ikifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa inapohitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Masomo

1. Uhamaji na matatizo tofauti ya uhamaji

  1. 1.1. Utangulizi
  2. 1.2. Matatizo yaliyozoeleka ya  uhamaji kutoka eneo moja kwenda eneo lingine
  3. 1.3. Vidonda vya kwenye mguu

2. Bidhaa saidizi za uhamaji

  1. 2.1. vifaa saidizi vya kusogea kutoka eneo moja kwenda eneo lingine vilivyojumuishwa katika TAP
  2. 2.2. vifaa saidizi vya kusogea kutoka eneo moja kwenda eneo lingine havijajumuishwa katika TAP

3. Namna ya kubainisha uhitaji wa bidhaa saidizi za uhamaji

  1. 3.1. Kusogea kutoka eneo moja hadi eneo lingine kwa urahisi na ukaguzi wa hali hatarishi ya kiafya
  2. 3.2. upimaji wa afya ya mguu
  3. 3.3. Maswali kwenye uchaguzi rahisi wa vifaa saidizi vya kusogea kutoka eneo moja kwenda eneo lingine
  4. 3.4. Weka Mpango
  5. 3.5. Fundisha

4. Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na shukrani

Mada zote
Kunja zote