Young girl using a magnifying glass and light to read
Moduli

Vioo kuza na darubini

Moduli hii inafundisha wanafunzi namna ya kutoa vioo kuza na darubini kwa kufuata hatua Nne za utoaji huduma.

Masomo 6

Module details

Moduli hii inafundisha wanafunzi namna ya kutoa vioo kuza na darubini kwa kufuata hatua Nne za utoaji huduma.

Kiwango cha ugumu: Wastani

Module duration: Two hours online, followed by supervised practice as needed.

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Translation in progress

This module is currently being edited. Content may not be accurate in your language.

Kumbuka: Vioo kuza na darubini zilizojumuishwa katika TAP zina nguvu kidogo, Uwezo wake wa kukuza ni kati ya mara 2 hadi mara 6. Watu wengine wanaweza kuhitaji vioo kuza au darubini zenye Uwezo mkubwa zaidi, ambazo zinapaswa kugawiwa na mtu mwenye mafunzo zaidi katika vifaa saidizi vya kusaidia uoni wa karibu.

Rasilimali ambazo utahitaji

Uchaguzi wa:

  • Vioo kuza ambavyo vinashikwa kwa mkono, vioo kuza vyenye umbo la mviringo, vioo kuza vinavyoweza kusimamishwa
  • Darubini zinazoshikiliwa kwa mikono

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Jukwaa la majadiliano

Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.