Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Mtu anamsaidia mlemavu wa macho kushikilia fimbo nyeupe.
Utangulizi

Utangulizi wa bidhaa za usaidizi

Moduli hii inahusu utambulisho wa vifaa saidizi.

Muda wa kusoma moduli: Saa moja mtandaoni

Rasilimali zinazohitajika wakati wa upimaji

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Masomo

1. Bidhaa saidizi ni nini?

  1. 1.1. Bidhaa saidizi na jinsi zinavyowasaidia watu
  2. 1.2. Watu wanaotumia bidhaa saidizi

2. Nani anahusika katika kutoa bidhaa saidizi

  1. 2.1. Majukumu tofauti katika utoaji wa bidhaa saidizi

3. Namna bidhaa saidizi zinavyotolewa

  1. 3.1. Utangulizi wa hatua nne za utoaji wa huduma
  2. 3.2. Hatua ya Kwanza - Chagua
  3. 3.3. Hatua ya Pili - Kufaa
  4. 3.4. Hatua ya Tatu - Matumizi
  5. 3.5. Hatua ya Nne - Ufuatiliaji

4. Mazingatio katika utoaji wa bidhaa saidizi

  1. 4.1. Muda unaohitajika kutoa bidhaa saidizi
  2. 4.2. Kuwasaidia watu kutumia bidhaa saidizi katika jamii

5. Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na shukrani

Mada zote
Kunja zote