Moduli

Kifaa saidizi cha kupunguza msuguano kwenye sehemu ya kuteWakati waa ya mguu

Masomo 6

Module details

Moduli hii inafundisha namna ya kumwekea mtu hogo kufuatia hatua Nne za huduma.

Kiwango cha ugumu: Pevu

Muda wa moduli: masaa 2 mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa na mwezeshaji kama itahitajika

Restricted module

This module is currently being tested and reviewed. It is under restricted access.

Rasilimali ambazo utahitaji

Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:

jukwaa la majadiliano kuhusu moduli

Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.