Msichana akiwa amevaa miwani shuleni
Picha kwa hisani: Sightsavers
Moduli

Vifaa saidizi vya uoni

Moduli hii hutoa utangulizi wa vifaa saidizi vya uoni.

Masomo 4

Maelezo ya moduli

Moduli hii inatoa utangulizi wa vifaa saidizi vya uoni

Kiwango cha ugumu: Wastani

Muda wa moduli: Masaa mawili mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi ya kusimamiwa kama inahitajika

Kabla ya kuanza Kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Kutafsri kunaendelea

Moduli hii kwa sasa inahaririwa. Yawezekana Maudhui yasiwe sahihi katika lugha yako.

Rasilimali ambazo utahitaji wakati wa upimaji

Vifaa vya upimaji wa macho:

  • Tochi ndogo yenye umbo la kalamu
  • Mkanda wa kupima urefu (angalau urefu wa mita 3)

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Jukwaa la majadiliano

Uliza maswali na shirikisha wenzao uzoefu wako katika jukwaa la majadiliano.