Hatua ya Nne: Ufuatiliaji

Picha kwa hisani ya: WHO

Hatua ya nne katika kutoa vifaa saidizi vya kusikia ni kuhakikisha kwamba bado vinakidhi mahitaji ya mtu huyo na viko katika utaratibu mzuri wa kufanya kazi.

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili kujifunza zaidi kuhusu nini cha kuangalia wakati wa ufuatiliaji na baadhi ya vitendo vya kawaida.