Nyaraka ya taarifa za mshiriki
Karibu kwenye Kujifunza kwenye TAP
Kujifunza kwenye TAP (TAP kwa ufupi) ni Jukwaa la mafunzo la mtandaoni linalotoa nyenzo za kujifunza zilizochanganywa kwa ajili ya huduma ya afya ya msingi na wafanyakazi wa jamii ili kusaidia utoaji wa huduma na mafunzo ya kabla ya huduma.
TAP inaweza kupatikana kwa kutumia kompyuta, kishikwambi au simu mahiri.
Mkusanyiko wa taarifa: TAP hukusanya taarifa kuhusu Wanafunzi (pamoja na wewe) kupitia upimaji wa usajili na maswali Moduli.
Kabla ya taarifa hii kutumika itatolewa vitu ambavyo vinatambulisha wahusika. Hii inamaanisha kuwa Majina, na maelezo ya kibinafsi Yanaondolewa. Kwa njia hii, hakuna mtu atakayepata habari hii atajua mtu inayemhusu.
Taarifa ambayo haijatambuliwa inatumiwa kusaidia kuandaa ripoti kuhusu TAP na kwa ajili ya utaKutafuta kipimo sahihii kusaidia kuelewa:
- Kiasi gani cha maslahi kuna TAP (kama vile idadi ya nchi zilizofikiwa)
- Jinsi TAP inavyofanya kazi vizuri na jinsi inavyoweza kuboreshwa
Taarifa hizo ambazo vyanzo vyake haviwezi kutambuliwa huhifadhiwa kwa usalama na Shirika la Afya Ulimwenguni na kuhifadhiwa kwa muda usiopungua miaka mitano, na baada ya hapo zaweza kuhifadhiwa ikiwa bado zinatumika. Washirika,wafadhili na watafiti taarif waweza kushirikishwa taarifa ambazo vyake haviwezi kutambuliwa.
Unaweza kuomba nakala ya taarifa zako wakati wowote ili kuthibitisha usahihi na ukamilifu. Unaweza pia kuomba taarifa yoyote iliyohifadhiwa kukuhusu ifutwe. Tafadhali wasiliana na: [email protected]