Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Jaribio

Jaribio la kabla ya kuanza kusoma moduli inayohusu Usikivu na afya ya masikio kwa watoto

Fanya jaribio hili la maswali 15 ili kupima ujuzi wako wa awali kuhusu usikivu na afya ya masikio kwa watoto kabla ya kuanza kusoma moduli hii. Usiwe na wasiwasi iwapo jaribio hili litakuwa gumu! Utakuwa unajifunza kuhusu Mada hizi zote wakati wa Moduli.

Jaribio la kabla ya kuanza kusoma moduli inayohusu Usikivu na afya ya masikio kwa watoto