Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Kusikia

Usikivu na afya ya masikio kwa watoto

Moduli hii inatoa utangulizi wa matatizo ya Usikivu, Usikivu na afya ya masikio na jinsi ya kupima wa Usikivu na afya ya masikio.

Muda wa moduli: Saa 1.5 mtandaoni, ikifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa inapohitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Rasilimali zinazohitajika wakati wa upimaji

  • Kifaa cha kupima sauti (mashine, kishikwambi au programu ya simu)
  • Spika za masikioni zinazochuja kelele
  • Otoskopu
  • Kifaa cha kupanua viungo (ukubwa mdogo na wa kati)
  • Sehemu ya kunawia mikono au kitakasa mikono
  • Vitu vya kufuta au kemikali ya kuua wadudu na pamba kusafisha vifaa vya upimaji.
  • Meza na viti viwili

Bonyeza kwenye linki hapa chini kupakua na kuchapa:

 

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Masomo

1. Usikivu kwa watoto

  1. 1.1. Maneno muhimu
  2. 1.2. Usikivu na Matatizo yake

2. Afya ya sikio

  1. 2.1. Muonekano wa masikio yenye afya bora
  2. 2.2. Dalili za matatizo ya kiafya ya masikio
  3. 2.3. Sababu zilizozoeleka zinazoweza kusababisha matatizo ya masikio

3. Kujitayarisha kwa upimaji

  1. 3.1. Maandalizi ya upimaji

4. Kioo cha afya ya Usikivu na masikio

  1. 4.1. Taarifa kuhusu mtoto
  2. 4.2. Upimaji wa Usikivu
  3. 4.3. Upimaji wa afya ya masikio
  4. 4.4. Weka Mpango

5. Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na shukrani

Mada zote
Kunja zote