Fanya jaribio hili la maswali 15 ili kujua ujuzi wako wa awali kuhusu kioo kuza na darubini; kabla ya kusoma moduli hii. Usiwe na mASHAka iwapo utapata taabu katika kujibu Maswali haya. Utajifunza kuhusu mada hizi zote wakati utakapokuwa unasoma moduli hii.
Jaribio la awali kabla ya kuanza kusoma moduli kuhusu Vioo kuza na darubini
Muhtasari wa Jaribio
0 ya 15 Maswali yamekamilika
Maswali:
taarifa
Tayari umekamilisha jaribio hili hapo awali. Huwezi kuanza tena.
Jaribio linafunguka...
Lazima uingie kwenye akaunti yako au jisajiri ili uweze kuanza kufanya jaribio.
Kwanza Unapaswa kukamilisha yafuatayo:
Matokeo
Matokeo
0 kati ya maswali 15 yamejibiwa kwa usahihi
Muda umepita
Umefikisha pointi 0 kati ya pointi 0, (0)
Pointi (s): 0 ya 0, (0)
0 Insha (s) Inasubiri (Pointi zinazoweza kupatikana): 0)
Makundi
- Ambazo hazijawekwa kwenye makundi0%
-
Hongera kwa kukamilisha jaribio hili. Usiwe na wasiwasi kuhusu alama ulizopata wala usirudie kufanya jaribio kwa mara nyingine. Utakuwa ukizosoma mada hizi zote kwa undani wakati ukisoma moduli hii.
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- Sasa
- Fanya tathmini
- Amejibu
- Sahihi
- Sio sahihi
-
Swali 1 Ya 15
Swali 1.
Kila mtu mwenye uoni hafifu atafaidika na kioo kuza au darubini.
-
Swali 2 Ya 15
Swali 2.
Unaweza kumpa mhitaji kioo kuza au darubini hata kama hajaenda kumuona mtaalamu wa tiba ya macho.
-
Swali 3 Ya 15
Swali 3.
Maria ana uoni hafifu na amevaa miwani ya kusomea. Anapata taabu katika kusoma maandishi; isipokuwa pale tu maandishi Yanapokuwa karibu sana Anapenda kuwa na Uwezo wa Kusoma vitabu kwa kujitegemea. Ana mavimu kwenye maungio na hawezi kutumia mikono yake kwa urahisi. Maria anaweza kufaidika na:
-
Swali 4 Ya 15
Swali 4.
Vioo kuza vinaweza kutumika kusaidia mtu kuona vitu vilivyo mbali sana.
-
Swali 5 Ya 15
Swali 5.
Mtu anaweza kufaidika na kioo kuza na darubini.
-
Swali 6 Ya 15
Swali 6.
Petro ana uoni hafifu na anavaa miwani ya kusomea. Angependa kupata Msaada wa ziada ili awe na Uwezo wa kusoma maandishi yaliyo kwenye bidhaa ambazo zinauzwa katika maduka makubwa. Hana tatizo lolote katika kutumia mikono yake. Petro anaweza kufaidika na:
-
Swali 7 Ya 15
Swali 7.
Darubini inayoshikwa kwa mkononi haipaswi kutumiwa ukiwa unatembea kwa vile inabadilisha umbali kati yako na vitu unavyoviangalia.
-
Swali 8 Ya 15
Swali 8.
Uchaguzi wa kioo kuza au darubini kunategemea shughuli ambazo mtu anataka kufanya, Uwezo wake na kile anachopenda.
-
Swali 9 Ya 15
Swali 9.
Aya ana uoni hafifu na anahitaji Msaada wa kuweza kuona watu walio mbali. Pia anapata taabu kutazama Wakati wa kwenye Mwanga mkali wa jua. Baada ya kumfanyia tathmini, unampa darubini inayoshikwa kwa mikono, na kumshauri avae kofia ili kivuli cha kofia kiweze kusaida macho yake kuona. Hata hivyo Aya bado anaona taabu kuona katika Mwanga mkali. Unapaswa:
-
Swali 10 Ya 15
Swali 10.
Sione ana uoni hafifu na anatumia miwani ya kusomea. Angependa Kusoma vitabu vinavyohusiana na kazi yake. Baada ya kumfanyia tathmini unaamua kumpa kioo kuza kinachoshikiliwa kwa mkono. Unaanza kujaribu kioo kuza chenye nguvu ya kukuza ya X2, lakini bado anapata taabu kusoma maandishi. Unapaswa:
-
Swali 11 Ya 15
Swali 11.
Wakati wa kutafuta umbali sahihi wa kushikilia kioo kuza kwa mkono ili kuweza kusoma; Unapaswa kukishikilia karibu na maandishi na kisha kukiinua polepole mbali na Ukurasa kuelekea macho yako, hadi pale maandishi yatakapoanza kuonekana vizuri zaidi.
-
Swali 12 Ya 15
Swali 12.
Michel ana uoni hafifu na anatumia miwani ya kusomea. Angependa kuona magari Yanayopita karibu na nyumba yake. Hana tatizo lolote kwenye kutumia mikono yake. Michel anaweza kufaidika na:
-
Swali 13 Ya 15
Swali 13.
Wakati wa kumfundisha mtu namna ya kutumia darubini inayoshikiliwa kwa mkono Unapaswa:
-
Swali 14 Ya 15
Swali 14.
Wakati wa ufuatiliaji; Robert anasema kuwa kioo kuza chake hakifanya kazi vizuri. Unapaswa:
-
Swali 15 Ya 15
Swali 15.
Kwa ujumla, vioo kuza na darubini haviwezi kukarabatiwa pale vinapovunjwa, kwa hiyo ni muhimu kuvibadilisha na kutumia vipya.
Tafadhali tujulishe kama unaridhia taarifa ilizokusanywa Wakati wa mafunzo haya itumike kwa shughuli za utoaji wa taarifa na utakupata kipimo sahihii wa baadaye.
Jibu "ndiyo" au "hapana" kwa kila Swali hapa chini. Hata kama utachagua jibu sahihi kama "hapana",bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.