Jaribio

Jabla kabla ya kusoma moduli ya miwani ya kusomea

Fanya jaribio hili la Maswali 15 ili kupima ujuzi wako wa awali kuhusu miwani ya kusomea kabla hujaanza moduli hii. Usiwe na wasiwasi kama unaona jaribio hili ni gumu kwako! Utajifunza zaidi kuhusu mada hizi zote wakati ukisoma moduli hii.

Jabla kabla ya kusoma moduli ya miwani ya kusomea