Ili kukamilisha moduli hii fanya jaribio hili la mwisho ambalo litakuonyesha kile ulichojifunza kuhusu viti saidizi vya msalani au kuoga. Unahitaji kupata walau alama 60% au zaidi ili kufaulu jaribio hili.
Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli ya viti saidizi vya msalani na bafuni
Muhtasari wa Jaribio
0 ya 15 Maswali yamekamilika
Maswali:
taarifa
Tayari umekamilisha jaribio hili hapo awali. Huwezi kuanza tena.
Jaribio linafunguka...
Lazima uingie kwenye akaunti yako au jisajiri ili uweze kuanza kufanya jaribio.
Kwanza Unapaswa kukamilisha yafuatayo:
Matokeo
Matokeo
0 kati ya maswali 15 yamejibiwa kwa usahihi
Muda umepita
Umefikisha pointi 0 kati ya pointi 0, (0)
Earned Point(s): 0 of 0, (0)
0 Essay(s) Pending (Possible Point(s): 0)
Makundi
- Ambazo hazijawekwa kwenye makundi0%
-
Oh pole, haukufanya vizuri katika jaribio hili! Unaweza kuhitaji kusoma tena kwa haraka haraka kabla ya kurudia kufanya jaribio hili kwa mara nyingine.
-
Bahati mbaya haukufaulu jaribio hili na unaweza kusoma moduli kwa haraka kabla ya kujaribu kwa mara nyingine
-
funga! Haukufaulu jaribio.Je, unahitaji kujaribu tena?
-
Umefanya vizuri , Umefaulu jaribio hili! Unaweza kupakua cheti chako kutoka kwa Ukurasa wa awali wa moduli.
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- Sasa
- Fanya tathmini
- Amejibu
- Sahihi
- Sio sahihi
-
Swali 1 Ya 15
Swali 1.
Kiti saidizi cha msalani kinaweza kutumika juu ya vyoo vya aina mbalimbali ili kuwasiaida watu wanaopata taabu kusogea kutoka sehemu moja hadi nyingine; waweze kutumia choo kwa urahisi zaidi
-
Swali 2 Ya 15
Swali 2.
Viti saidizi vya msalani na vigoda huwawezesha watumiaji ambao wana Uwezo mdogo wa kuhama kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Aidha, vinawafaa wale wanaoyumba pale wanaposimama, na wale ambao wana mawasiliano hafifu kwenye viungo vyao Wakati wa kukaa na kuoga.
-
Swali 3 Ya 15
Swali 3.
Baadhi ya viti saidizi vinaweza kutumika kote; msalani na bafuni
-
Swali 4 Ya 15
Swali 4.
Watu wanaweza kuhitaji kutumia kiti cha msalani na/au bafuni kwa sababu:
-
Swali 5 Ya 15
Swali 5.
Je, unadhani kiti saidizi cha msalani, kiti saidizi cha bafuni au kigoda saidizi cha bafuni kinapaswa kuwa na sifa gani muhimu?
-
Swali 6 Ya 15
Swali 6.
Kiti saidizi cha msalani kinaweza kuwekwa juu ya choo, au katika eneo lingine. kama hakitumiki juu ya choo, kinapaswa kuwa na ndoo inayohamishika baada ya matumizi.
-
Swali 7 Ya 15
Swali 7.
Kabla ya kuongeza au kupunguza urefu wa kiti saidizi cha msalani au cha bafuni ni muhimu kuangalia:
-
Swali 8 Ya 15
Swali 8.
Ni mambo gani muhimu kwa watu ambao wanahitaji Msaada zaidi Wakati wa kuoga?
-
Swali 9 Ya 15
Swali 9.
Ni nani kati ya watu wafuatao anaweza kuwa kwenye hatari ya kupata vidonda mgandamizo?
-
Swali 10 Ya 15
Swali 10.
Kitu cha kuzuia mgandamizo kilicho juu ya kiti saidizi cha msalani / au kiti saidizi cha bafuni, sehemu ya kuegemeza mgongo na kuweka mkono viTatumika iwapo mtumiaji yuko kwenye hatari ya kupata vidonda mgandamizo
-
Swali 11 Ya 15
Swali 11.
Miguu na sehemu za kuegesha mikono za kiti saidizi; ambazo zina urefu unaoweza kuongezwa na kupunguzwa ni baadhi ya sifa muhimu kwa mtumiaji mwenyepata taabu kukaa na kusimama kutoka kwenye choo.
-
Swali 12 Ya 15
Swali 12.
Ni kitu gani muhimu kujadili na mtumiaji pamoja na mlezi / mwanafamilia wake;wakati unapomwelekeza mtumiaji namna ya kutumia kiti saidizi cha msalani au kile cha bafuni katika mazingira yake?
-
Swali 13 Ya 15
Swali 13.
Ni jambo gani kati ya mambo yafuatayo, Unapaswa kumfundisha mtu mwenyejifunza namna ya kukaa na kutoka kwenye kiti saidizi cha msalani na bafuni?
-
Swali 14 Ya 15
Swali 14.
Wakati wa kusafisha na kutunza choo au kiti saidizi cha bafuni:
-
Swali 15 Ya 15
Swali 15.
Umeombwa kumtathimini Cali ili kuweza kujua aina ya kiti saidizi cha msalani anachohitaji. Umegundua kuwa anapata Maumivu Wakati wa kujisaidia. Unapaswa kuchukua hatua gani?
Tafadhali tujulishe kama unaridhia taarifa ilizokusanywa Wakati wa mafunzo haya itumike kwa shughuli za utoaji wa taarifa na utafiti wa baadaye.
Jibu "ndiyo" au "hapana" kwa kila Swali hapa chini. Hata kama utachagua jibu sahihi kama "hapana",bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.