Teknolojia saidizi
Pata maarifa juu ya teknolojia saidizi na namna bora ya kugawa bidhaa saidizi kwa wahitaji.
19 Moduli
Watu bilioni 2.5 wanahitaji bidhaa saidizi
Katika baadhi ya nchi ni 3% tu ya watu wanaoweza kufikia bidhaa muhimu za usaidizi kama vile Vifaa saidizi vya usikivu, vijiti na miwani ya kuona karibu. Bidhaa nyingi za usaidizi zinaweza kutolewa katika ngazi ya huduma ya msingi. Kutoa Bidhaa saidizi kunaweza kuzuia Matatizo ya kiafya na kuongeza uhuru kwa watu wanaohitaji.
Kozi
Kozi ya teknolojia saidizi ya TAP inafundisha jinsi ya kutambua, kutoa rufaa na kutoa anuwai ya bidhaa saidizi. Ili kutoa Bidhaa saidizi kwa usalama na kwa ufanisi kuna hatua nne:
Chagua
Bidhaa inayomfaa mtu zaidi.
Tafuta kipimo sahihi
Rekebisha na upate kipimo sahihi cha bidhaa kulingana na mhitaji.
Matumizi
Mfundishe mtu jinsi ya kutumia na kutunza bidhaa.
Ufuatiliaji
Kagua mahitaji ya mtu, tunza na urekebishe bidhaa.
Moduli
Kozi ya teknolojia saidizi ya TAP inajumuisha Moduli za utambuzi, Mawasiliano, kuona, kusikia, kujitunza, uhamaji na dharura. Kila moja ya hizi zina Moduli ya utangulizi na Moduli maalum za bidhaa.

Kozi zaidi
Tafuta kozi mbalimbalii zinazohusisha kujadiliana wakati wa kujifunza.
Jinsi inavyofanya kazi
Kuanza ni rahisi. Jiandikishe kwa urahisi, ingia, na uingie kwenye kozi.
Ingia kwenye mtandao
Ingia wakati wowote ili kufikia dashibodi yako iliyobinafsishwa.
Ingia kwenye mtandaoJifunze mtandaoni
Soma aina mbalimbali za kozi zinazolingana na malengo yako ya kibinafsi na kitaaluma.
Pitia koziUnganisha
Iwapo ungependa kujua zaidi kuhusu kazi ya WHO kwenye teknolojia saidizi, tembelea tovuti ya teknolojia saidizi ya WHO , jiunge na jumuiya ya GATE na ufuate timu kwenye LinkedIn !