Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Kusikia

Vifaa saidizi vya usikivu

Moduli hii inatanguliza vifaa saidizi za Usikivu na jinsi ya kupima afya ya masikio.

Muda wa moduli: Saa 2 mtandaoni, ikifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa inapohitajika.

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

  1. Utangulizi wa bidhaa za usaidizi

Rasilimali zinazohitajika wakati wa upimaji

  • Otoskopu yenye angalau saizi mbili za kifaa cha kupanua viungo, betri ya akiba na balbu
  • Mkoba wa vifaa vya kusafishia masikio:
    • Maji safi (kuchemsha na kupoza maji yawe na uvuguvugu) na chombo
    • Sindano ya mililita 20 (bila sindano)
    • Sahani yenye umbo la figo au bakuli lingine
    • Tishu, karatasi pana ya kufutia kimiminika au taulo
  • Tishu kwa ajili ya kusafisha sikio
  • Kifaa cha kutupa utambi  uliotumika sikioni

Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Masomo

1. Usikivu na matatizo mbalimbali ya Usikivu

  1. 1.1. Maneno muhimu
  2. 1.2. Kutambulisha Mada ya Usikivu
  3. 1.3. Watu wanaopoteza Usikivu
  4. 1.4. Afya ya masikio
  5. 1.5. Sababu zinazopelekea matatizo ya Usikivu

2. Bidhaa saidizi za Usikivu

  1. 2.1. vifaa saidizi za Usikivu zimejumuishwa
  2. 2.2. vifaa saidizi za Usikivu hazijajumuishwa

3. Jinsi ya kupima afya ya sikio

  1. 3.1. Kutambulisha upimaji wa TAP wa afya ya masikio
  2. 3.2. maswali upimaji
  3. 3.3. Jinsi ya kutumia Otoskopu
  4. 3.4. Kufuta na kuosha masikio
  5. 3.5. Upimaji wa afya ya masikio

4. Weka Mpango

  1. 4.1. Kupanga hatua zinazofuata

5. Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na shukrani

Mada zote
Kunja zote