Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Kusikia

Vifaa saidizi vya usikivu vinavyoweza kusetiwa

Moduli hii imetayarishwa kwa kuongezea kwenye  moduli ya vifaa vya saidizi vya usikivu vilivyosetiwa tayari na TAP na inajumuisha maelezo ya ziada kuhusu jinsi ya kutoa vifaa saidizi vya usikivu kwa watoto. Inafundisha huduma ya afya ya msingi na wafanyakazi wa jamii kutoa vifaa saidizi vya usikivu inayoweza kupangwa kufuatia hatua nne za huduma.

Muda wa moduli: Masaa 2 mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa mwezeshaji/mshauri.

Utafutaji wa kipimo sahihi cha vifaa saidizi vya usikivu kwa watoto mara nyingi huhitaji nguvu nyingi zaidi ikilinganishwa na watu wazima. Mpimaji anapaswa kuwa amepata mafunzo yakiwango cha juu.

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Rasilimali zinazohitajika wakati wa upimaji

Kipimo cha Usikivu:

  • Vipima sauti na spika za masikioni zinazochuja kelele
  • Chumba chenye utulivu
  • Uchaguzi wa vifaa saidizi vya sauti vinavyoweza kusetiwa, ikiwemo saizi tofauti za viunzi vya masikio na betri za akiba
  • Midoli ya kuchezea vya kuhimiza watoto wadogo kushiriki au vibandiko vya kukamilisha kipimo

Utafutaji wa kipimo sahihi cha vifaa saidizi vya usikivu:

  • vifaa saidizi vya usikivu katika ukubwa tofauti
  • Bomba la akiba la kifinyazi cha sikio
  • Mikasi
  • Kalamu

Aina sita za sauti tofauti ambazo anapaswa Usikivu ili kujua lugha

  • Kadi ya kuashiria sauti ya Lingi
  • Kadi (sentimita 20 x 20 sentimita) ya kufunika mdomo wa anayejaribu wakati wa jaribio la sauti za Lingii

Ukaguzi/utunzaji wa vifaa saidizi vya usikivu:

  • Bomba la kutumia kusikiliza (Stetoklipu)
  • Seti ya kusafishia Ikiwa ni pamoja na brashi, waya, kitambaa, chombo cha maji ya sabuni, kitambaa cha karatasi
  • Hifadhi ya kifaa saidizi cha Usikivu (chombo cha kuondoa unyevu)

Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Masomo

1. Utangulizi wa vifaa saidizi vya usikivu vinavyoweza kusetiwa

  1. 1.1. Maneno Muhimu
  2. 1.2. Vifaa vya kusaidia kusikia kwa watoto

2. Hatua ya kwanza: Chagua

  1. 2.1. Muhtasari wa tathmini
  2. 2.2. Kipimo cha kusikia
  3. 2.3. Mpango

3. Hatua ya pili: Kupata kipimo sahihi

  1. 3.1. Kifaa cha kusaidia kusikia cha programu
  2. 3.2. Vifaa vya kusikilizwa kwa kesi

4. Hatua ya Tatu: Matumizi

  1. 4.1. Jinsi ya kutumia vifaa vya kusaidia kusikia
  2. 4.2. Jinsi ya kutunza vifaa vya kusaidia kusikia

5. Hatua ya nne: Ufuatiliaji

  1. 5.1. Ufuatiliaji wa vifaa vya kusaidia kusikia kwa watoto

6. Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na shukrani

Mada zote
Kunja zote