Mwanamke Aliyekatwa mguu chini ya goti hapo juu anatumia magongo aina ya axilla kutoka nje ya basi.
Moduli

Vifaa saidizi vya kusogea kutoka eneo moja kwenda eneo lingine

Moduli hii hutoa utangulizi wa vifaa saidizi vya kusogea

Masomo 4

Maelezo ya moduli

Moduli hii hutoa utangulizi wa vifaa saidizi vya kusogea

Kiwango cha ugumu: Wastani

Muda wa moduli: masaa 2-3 mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi yaliyosimamiwa kama inahitajika

Kabla ya kuanza Kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Kutafsri kunaendelea

Moduli hii kwa sasa inahaririwa. Yawezekana maudhui yasiwe sahihi katika lugha yako.

Jukwaa la majadiliano

Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.