Mwanamke  Wakati wa amevaa Viatu vya buti vinavyoweza kuvuliwa, akitembea kwenye barabara nzuri iliyosakafiwa
Moduli

Viatu vigumu saidizi

Masomo 5

Maelezo ya moduli

Moduli hii inafundisha namna ya kugawa Viatu vigumu ambavyo vinaweza kuvuliwa kwa kufuata  kufuatia hatua Nne za utoaji huduma.

Kiwango cha ugumu: Wastani

Muda wa moduli: masaa 2 mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa na mwezeshaji kama itahitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Rasilimali ambazo utahitaji

  • Viatu vigumu saidizi

Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:

Jukwaa la majadiliano

Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.