Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Kusikia

Utangulizi wa vifaa saidizi vya usikivu

Somo: la 1 kati ya masomo 6
0% Imekamilika
Picha kwa hisani ya: © WHO

Jaribio

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, fanya jaribio fupi lifuatalo ili kutambua mambo ambayo tayari unayajua:

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili kujifunza kuhusu vifaa saidizi vya usikivu na ni nani anayeweza kusaidia.