Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Kusikia

Hatua ya kwanza: Kuchagua

Somo: la 2 kati ya masomo 6
0% Imekamilika
Picha kwa hisani ya: © WHO

Hatua ya kwanza ya kumpatia mtu vifaa saidizi vya usikivu ni kumfanyia Upimaji wa Usikivu ili kujua kama atafaidika na vifaa saidizi vya usikivu. Kipimo cha Usikivu ni sawa kwa watu wazima na watoto.

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili kukamilisha somo hili na ujifunze jinsi ya kufanya kipimo cha Usikivu na ufanye mpango wa kutoa vifaa saidizi vya usikivu.

Mada za somo

  1. Haijakamilika: 1. Muhtasari wa tathmini

  2. Haijakamilika: 2. Kipimo cha kusikia

  3. Haijakamilika: 3. Mpango