Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Kusikia

Hatua ya tatu: Matumizi

Somo: la 4 kati ya masomo 6
0% Imekamilika
Picha kwa hisani ya: WHO

Hatua ya tatu katika kutoa vifaa saidizi vya usikivu ni kumfundisha mtu jinsi ya kuvitumia na kuvitunza.

Taarifa sawa ni muhimu kwa watu wanaotumia vifaa saidizi vya usikivu vilivyosetiwa tayari au vinavyoweza kusetiwa.

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili kukamilisha somo hili na uJifunze zaidi kuhusu jinsi ya kutumia na kutunza vifaa saidizi vya usikivu.