Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Kusikia

Hatua ya kwanza: Kuchagua

Somo: la 2 kati ya masomo 6
0% Imekamilika
Picha kwa hisani ya: © WHO

Hatua ya kwanza ya kumpatia mtoto vifaa saidizi vya usikivu ni kupima Usikivu wake ili kujua kama atafadika na vifaa vya saidizi vya usikivu.

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili kukamilisha somo hili na ujifunze zaidi kuhusu jinsi ya kufanya Kipimo cha Usikivu na ufanye mpango wa kutoa vifaa saidizi vya usikivu.

Mada za somo

  1. Haijakamilika: 1. Muhtasari wa tathmini

  2. Haijakamilika: 2. Kipimo cha kusikia

  3. Haijakamilika: 3. Mpango