Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Kusikia

Hatua ya pili: Kupata kipimo sahihi cha kifaa saidizi

Somo: la 3 kati ya masomo 6
0% Imekamilika
Picha kwa hisani ya: WHO

Hatua ya pili katika kugawa vifaa saidizi vya usikivu ni kutafuta kipimo sahihi kinachomfaa mtoto. Kipimo sahihi ni muhimu kwa mtoto kupata manufaa zaidi kwa kutumia vifaa saidizi vya usikivu.

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili kukamilisha somo hili na ujifunze zaidi kuhusu jinsi ya kupata kipimo sahihi cha vifaa saidizi vya usikivu vinavyoweza kusetiwa.

Mada za somo