Hatua ya pili: Kipimo sahihi

Kiti saidizi cha bafuni chenye sehemu ya kuegamia kwa mgonogo na sehemu ya kushikiria upande wa ndani ulio kwenye sehemu ya kuogea. Kichwa cha bomba linalomwaga Maji kimeondolewa na kimewekwa juu ya kiti

Hatua ya pili katika kugawa kiti saidizi cha msalani au bafuni; ni kupata kipimo sahihi cha kifaa saidizi kwa mtumiajimiaji . Kipimo sahihi ni muhimu ili kuwa na kiti saidizi cha msalani au bafuni ambacho ni salama na rahisi kutumia.

Soma mada zifuatazo ili ujifunze namna ya kupata kipimo sahihi cha kiti saidizi cha msalani na bafuni.

Jukwaa la majadiliano